Hii Sio Habari Njema Kwa Ayatollahs!

Hii Sio Habari Njema Kwa Ayatollahs!

Hoja ukiwaabudu wayahudi unabarikiwa kwakuwa Yesu wao wanamwita mjomba
Ha ha ha! Umekuwa mpole sasa! Kelele nyiiingi na matusi kwa usiyoyajua. Punguza mihemuko dogo.
 
Yaani hapo ni sawasawa ni kumwalika Ustadhi kula kitimoto....
 
Hakuma mijitu mijinga na mipumbavu katika dunia hii kama arabs! Huwa hayajielewi ni nini yanataka yanapelekeshwa kama makondoo tuu, pumbavu sana.
Mambo ya Israel na Palestine wengi wetu huyachukulia kwa muktadha wa KIDINI zaidi kuliko historia; ukweli ule mgogoro hauna uhusiano wowote wa Uislamu na Ukristo, issue ya pale ni urithi wa ardhi, maanake wapo Wayahudi ambao kwa maana ya DINI ni waislamu (baadhi walikua hadi member wa Al Quida na ndio waliovujisha siri ya Osama kuipiga world trade centre na Pentagon) na pia wapo Wapalestine ambao ni Wakristo (mfano niyule aliyekua mke wa Yassir Arafat the former PLO president). Kwa baadhi ya mataifa ya kiarabu kuiunga mkono Israel wala mimi sishangai kabisa, wale jamaa ni ndugu na undugu wao una historia ndefu sana, baba wa Israel ndiye baba wa Arabs as well, wengine tutulie tu, wanao AMINI katika Mungu basi wamuombe Mungu ili upande sahihi ushinde na mauaji yasiendelee, vinginevyo tutapoteza muda bure wa kumchukia either Israel na wanao muunga mkono au wengine kuichukia Palestine na may be Iran, mwishoni mwa siku hao watu wanajuana.
 
Mkuu; uarabuni ugomvi umekuwepo tangu mwanzo wa nyakati si jana wala juzi! Bile kwenda mbali huko, tukianzia zama za kati hapa enzi za Mtume (SAW); pitia historia kidogo uone mambo ya ajabu waliyofanyiana wao kwa wao (masahaba) mara baada ya Mtume (SAW) kulala mauti. Soma uone mambo waliyomfanyia bintiye Fatema muda mfupi baada ya mzai wake kuondoka.

Pitia mambo waliyowafanyia wajukuu zake Hassan na Hussein. So, waarabu hawajawahi kuwa watu wa amani toka enzi. Labda kwa siku zijazo, ila walikotoka hapana.
Ni kweli kabisa na ugomvi huko kila mahali tatizo kubwa linalowasumbua waarabu ni koo mbili kubwa ukoo wa hashim na ukoo wa umaya ndio zilikuwa kubwa hizi ila mtume Mohamadi(s.a.w) alitoka ukoo wa hashim sasa wakina umaya roho ikawauma kuna mambo siwezi andika kila kitu
 
Mkuu; uarabuni ugomvi umekuwepo tangu mwanzo wa nyakati si jana wala juzi! Bile kwenda mbali huko, tukianzia zama za kati hapa enzi za Mtume (SAW); pitia historia kidogo uone mambo ya ajabu waliyofanyiana wao kwa wao (masahaba) mara baada ya Mtume (SAW) kulala mauti. Soma uone mambo waliyomfanyia bintiye Fatema muda mfupi baada ya mzai wake kuondoka.

Pitia mambo waliyowafanyia wajukuu zake Hassan na Hussein. So, waarabu hawajawahi kuwa watu wa amani toka enzi. Labda kwa siku zijazo, ila walikotoka hapana.
Mkuu kidogo naona unaanza kukomaa kwenye ishu za kimataifa,
 
....hmna mji mtakatifu duniani wewe bwege ! Hao jamaa si ndo walimuua mungu wenu.
Na sijui mnakutana nao wapi, maana mungu wenu wanamwita mwana haramu !
Inawaumaje? Jerusalem or city of king David will never be ruled by Arabs. Soma 1Kings 8:25.
Viva the chosen nation of God Jehovah!
 
Mambo ya Israel na Palestine wengi wetu huyachukulia kwa muktadha wa KIDINI zaidi kuliko historia; ukweli ule mgogoro hauna uhusiano wowote wa Uislamu na Ukristo, issue ya pale ni urithi wa ardhi, maanake wapo Wayahudi ambao kwa maana ya DINI ni waislamu (baadhi walikua hadi member wa Al Quida na ndio waliovujisha siri ya Osama kuipiga world trade centre na Pentagon) na pia wapo Wapalestine ambao ni Wakristo (mfano niyule aliyekua mke wa Yassir Arafat the former PLO president). Kwa baadhi ya mataifa ya kiarabu kuiunga mkono Israel wala mimi sishangai kabisa, wale jamaa ni ndugu na undugu wao una historia ndefu sana, baba wa Israel ndiye baba wa Arabs as well, wengine tutulie tu, wanao AMINI katika Mungu basi wamuombe Mungu ili upande sahihi ushinde na mauaji yasiendelee, vinginevyo tutapoteza muda bure wa kumchukia either Israel na wanao muunga mkono au wengine kuichukia Palestine na may be Iran, mwishoni mwa siku hao watu wanajuana.

FB_IMG_1523036033424.jpg
 
Upumbavu wake sio wa kucheka bali kuhurumia Mkuu! Anabisha eti hakuna mji mtakatifu duniani wakati Shekhe/Imamu Mkuu wa Makkah na dunia yote ya kiarabu wakiuongelea Jerusalem wanautaja kama Al-Quds (mtakatifu/mtukufu)! Watu wengine ni kuwaacha tu ama walivyo!
Mkuu usipate shida naye, % kubwa ya watu waliosoma chuo (madrasa) wanachojua ni kukariri siyo kuelewa!
 
....hmna mji mtakatifu duniani wewe bwege ! Hao jamaa si ndo walimuua mungu wenu.
Na sijui mnakutana nao wapi, maana mungu wenu wanamwita mwana haramu !
Tunakutana nao pale Maka na Madina wakati wa kumpiga mawe shetani.
 
Wapalestina jina jingine wanaitwa wafilisti.Sehemu yao inaitwa Gaza toka enzi na enzi!
 
"Jerusalem, the Capital of Israel"; kwa maneno hayo, hapajawahi kuwa na kadi bora ya mwaliko kuzidi hii tangu dunia ianze kuwepo.
Huna lolote umelewa uyahudi wewe
 
Pamoja na hayo ila ukweli hubaki kuwa kweli
Israel taifa teule na zaidi tuliombee amani ili nasi tupate baraka
Nani awaombee taifa la mashoha na wasagaji? Mungu hapendezwi na hizo tabia na wala hakuna kitu kinachoitwa taifa teule.futa hayo mawazo mgando
 
Waarabu sio makondoo na hawapelekeshi.Kila mtu ana Uhuru wa kuchagua rafiki anayemfaa.Kama wafalme wa Said Arabia wanaona Iran analengo la kuipindua serikali.Israel na US wanaonekana ni marafiki zao pia ni maadui wa Iran,kwanini Saud Arabia isishirikiane na Israel na US?
we uliwahi kuona wapi mwafrika akawa na urafiki na mwaabua u mzungu ndivyo hivyo waisrael ni wazungu watakuwa vipi na urafiki na saud arabia-waaabu kama sio unafiki tu ni nini?
 
Laiti waarabu nchi zao zingekuwa na umoja wa kweli kwa nguvu ya rasilimali walizonazo wangekuwa tishio sana kwa nchi za magharibi,, upumbavu wa kusalitiana wao kwa wao matokeo yake miaka yote wanapelekeshwa na Nchi moja tu wote wanaufyata..
Wewe ni nani upingane na maandiko? Jacobo alibarikiwa na Mungu na akamuita Israel, Mwanzo 32:28, chezea Israel wewe.
 
Nani awaombee taifa la mashoha na wasagaji? Mungu hapendezwi na hizo tabia na wala hakuna kitu kinachoitwa taifa teule.futa hayo mawazo mgando
Hii issue ya mashoga mnalitumia tuuu monotonously kama "Flagship" kama vile huko mnakomaanisha woote ni mashoga.

Ushoga ni dhambi na mwenyezi Mungu ameulaani ktk maandiko na ni dhambi ambayo leo inatendwa almost duniani kote na leo hii hakuna nchi inayoweza kudai kuwa haina watu hawa.

Huko uarabuni ushoga upo na unakuwa practised hata na viongozi wa kidini lkn kuna wengi tu ambao hawajihusishi na huo uovu hata nchi za wazungu ni hivyo hivyo na hata Afrika, Asia na Latin America vile vile.
 
Ayatollahs wako vzuri, usiwaangalie Iran tuu waangalie
1.Uchaguzi Lebanon
2.Uchaguzi Iraq
3.Mapambano Yemen
 
Back
Top Bottom