Hapo unategemea mwanafunzi atafaulu kweli?
Human rights wame log off hawaoni hii kitu wala hawaulizi hii kitu imetokea wapiHapo unategemea mwanafunzi atafaulu kweli?
ukija unipige ujiandae ndugu CHUAKACHARA ....
Hiyo ya kushika masikio na ile ya kuita mvua zilikuwa common sana enzi zile.