Hii Simu Tecno Camon X bei gani?

Hii Simu Tecno Camon X bei gani?

mkuu mediatek helio p23 gpu yake sio mali T720 bali ni mali G71 mp2 unaweza angalia hapa

https://www.mediatek.com/products/smartphones/mediatek-helio-p23

mpaka hapo credibility ya hio source yako imeondoka.

blog zetu nyingi za ki Africa ni waongo kupita kiasi hawana weledi wa kazi zao wanawaza tu kupiga hela basi.

ukija kwenye camera unaambiwa tu megapixel 24 basi hakuna information yoyote ya sensor iliotumika, aperture, resolution, fps, ukubwa wa pixel na mambo kibao ya muhimu kwenye camera.

mwisho kabisa hio bei ksh 25,000 hio inakuja kuuzwa laki 6 huku kwetu kama sio zaidi. nikisema humu Tecno hauzi simu za bei rahisi watu hawaelewi, hio bei imeipita hadi samsung galaxy j7 pro ambayo inapatikana around 500,000 mpaka 550,000, ambayo inatumia equivalent soc sawa na hio tecno. huyo ni Samsung kuna simu hizi
-xiaomi redmi note 4, redmi 5 na 5 pro, note 5, mi A1 etc zote ni bei rahisi sana zikiwa na specs zaidi.
-Huawei Honor 6 na 7 series zote ni kali na bei rahisi zaidi
Kwahiyo chief hiyo simu ya Tecno inayouzwa 600,000 TZS, inaweza kupitwa ubora na simu ya redmi 5, nilioipata kwa 290,000

mkuu mediatek helio p23 gpu yake sio mali T720 bali ni mali G71 mp2 unaweza angalia hapa

https://www.mediatek.com/products/smartphones/mediatek-helio-p23

mpaka hapo credibility ya hio source yako imeondoka.

blog zetu nyingi za ki Africa ni waongo kupita kiasi hawana weledi wa kazi zao wanawaza tu kupiga hela basi.

ukija kwenye camera unaambiwa tu megapixel 24 basi hakuna information yoyote ya sensor iliotumika, aperture, resolution, fps, ukubwa wa pixel na mambo kibao ya muhimu kwenye camera.

mwisho kabisa hio bei ksh 25,000 hio inakuja kuuzwa laki 6 huku kwetu kama sio zaidi. nikisema humu Tecno hauzi simu za bei rahisi watu hawaelewi, hio bei imeipita hadi samsung galaxy j7 pro ambayo inapatikana around 500,000 mpaka 550,000, ambayo inatumia equivalent soc sawa na hio tecno. huyo ni Samsung kuna simu hizi
-xiaomi redmi note 4, redmi 5 na 5 pro, note 5, mi A1 etc zote ni bei rahisi sana zikiwa na specs zaidi.
-Huawei Honor 6 na 7 series zote ni kali na bei rahisi zaidi

Kwahiyo chief, hiyo simu ya Tecno inayouzwa 600,000 TZS, inaweza kupitwa ubora wa kila idara na simu ya Xiaomi Redmi 5, nilioipata kwa 290,000 TZS?
IMG-20180416-WA0014.jpg
IMG-20180416-WA0016.jpg
IMG-20180416-WA0017.jpg
 
niuzie basi mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama upo Dom njoo nikuagizie mpyaa, utanilipa kiasi kidogo tu. Yaan washikaji wanaitamania[emoji39] acha mkuu, nikitoka hii naingia Redmi Note 5 Pro.
 
nipo arusha ngoja nitakutafuta unifundishe jinsi ya kuagiza nisije nikatapeliwa
 
redmi 5 ni kama camon x na redmi 5 plus ni kama camon x pro.
Nimepitia Aliexpress nikaona hii Redme 5plus inashindana sana Huawei honor 9 lite. Na nimeona hii 9 lite inauzwa usd 178 nisaidie bora kati ya hizi mbili mwl wa CRT aniagizie

Huawei Redme 5plus vs Huawei honor 9 lite
 
xiaomi ina battery kubwa na overall perfomance yake itakuwa kubwa kuliko hio Honor 9,

sijacheki camera na vitu vyengine vidogo vidogo. unaweza kwenda youtube kwa camera comparison.
 
Ni kweli mkuu sijawai ona review ya simu kwa wanaijeria wakikosoa kitu wao wanasifiaga tu kwa kwenda mbele, likija toleo jipya utasikia this is great than the previous version basi wataishia kusema tu its beautful, nice finishing material hata kama ni plastic cheap looking material. Unachosema ni true
Na was Nigeria wamesoma sana sisi mmmmmmh hata kutengeneza sindano hatui kukandia ndio twajua
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama upo Dom njoo nikuagizie mpyaa, utanilipa kiasi kidogo tu. Yaan washikaji wanaitamania[emoji39] acha mkuu, nikitoka hii naingia Redmi Note 5 Pro.
Dom upo sehemu gani mkuu mie nipo Dom nahitaji niione
 
Hizo Xiaomi phones vipi optimization yake ya hizo hardware kwenye OS version wanazotumia?

Huenda ikawa ma specs makubwa ila kwenye ufanisi chenga,mfano Sony wana uza sensor za camera kwa samsung na Apple ila cha ajabu camera results za Iphone na Samsung ni outstanding kuliko hata za Sony.

Yote ni optimization ya camera hardware, samsung na apple wana software nzuri zaidi kwa ajili ya camera. Pia Sony wame optimize vizuri zaidi battery zao zinakaa sana tofauti na apple na samsung!
 
kama unataka optimization tafuta mi A1 ambayo inatumia stock android.

Miui ambayo inakuja na xiaomi nyingi si katika interface ambazo ni nyepesi, na hili lipo kwa wachina wote kina huawei hadi Tecno.
 
Sasa kama MIUI ni nzito simu si itakuwa inaboa kutumia mkuu, halafu sio wachina wote wanazingua oppo na color os yupo freshi sana simu iko very smooth haina bugs kabisa.
 
Awali nilikua natumia Samsung galaxy s6, nimeamia Xiaomi redmi 4x sasa nipo redmi 5, (MIUI) bado sijaona shida yoyote ile ipo vizuri tu. ni much decent kwa kila kitu.
samsung anatumia touchwiz/grace ui si katika user interface ambazo zipo faster.

umewahi tumia simu yoyote ambayo ni karibia na stock ui? kama vile sense ya HTC, lineage os, simu za nexus na pixel etc

una xiaomi ya miui hapo? nenda setting kisha kwenye ram management angalia una free ram ngapi kati ya ram ngapi
 
Sasa kama MIUI ni nzito simu si itakuwa inaboa kutumia mkuu, halafu sio wachina wote wanazingua oppo na color os yupo freshi sana simu iko very smooth haina bugs kabisa.
color os siku hizi ni kama miui tu, sababu zipo bloat za kutosha. labda useme angalau oxygen os ya oneplus
 
Wakuu nna mpango wa kuchukua Techno Cm hivi karibuni mwenye uzoefu nayo comment chochote. Bei ni 340
 
Back
Top Bottom