Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 772
Kuna tofauti kati ya tecno cm na tecno x, maana umetoka nje ya swaliWewe chukua tu maana naona sikio la kufa hakisikii dawa
Kuna tofauti kati ya tecno cm na tecno x, maana umetoka nje ya swaliWewe chukua tu maana naona sikio la kufa hakisikii dawa
OS: Android 7.0 NougatWakuu nna mpango wa kuchukua Techno Cm hivi karibuni mwenye uzoefu nayo comment chochote. Bei ni 340
Shilingi ngapi inauzwaSure? Kama bei yake ndio hiyo unaibiwa kweli Simu yenye performance ndogo kama hiyo unauziwa hela yote hiyo. Ni bora kama unaweza kuagiza online uchukue good quality smartphone Xiaomi Redmi 5 plus na change inabaki
View attachment 745291
280kShilingi ngapi inauzwa
Inauzwa wapi? Ninahaja nayo...280k
Chief tunaomba ufanye verification ya akaunti yako watu tupate unafuu wa kuwasiliana na we we1. camon ziliopita c9 na cx si ina full HD? hii wamedowngrade kioo ni HD ya kawaida.
Tecno Camon C9 Specifications, Features And Price
mpaka hapo tayari inaonyesha how serious they are
2. soc sijaona specs zake ila nahisi ni helio p23 sio soc mbaya
3. hizo camera specification sijaziona ila sitashangaa wakitumia tena sensor za mwaka 2014 na kudanganya wateja wao wana camera nzuri.
kifupi hio simu specs zake bado ni tabu kuzipata na jamaa hawana tabia ya kuzitoa, mpaka mtu aitie mkononi na kuanza kuchimba kuona.
mkuu mediatek helio p23 gpu yake sio mali T720 bali ni mali G71 mp2 unaweza angalia hapa
Semiconductor Technology and Innovation
mpaka hapo credibility ya hio source yako imeondoka.
blog zetu nyingi za ki Africa ni waongo kupita kiasi hawana weledi wa kazi zao wanawaza tu kupiga hela basi.
ukija kwenye camera unaambiwa tu megapixel 24 basi hakuna information yoyote ya sensor iliotumika, aperture, resolution, fps, ukubwa wa pixel na mambo kibao ya muhimu kwenye camera.
mwisho kabisa hio bei ksh 25,000 hio inakuja kuuzwa laki 6 huku kwetu kama sio zaidi. nikisema humu Tecno hauzi simu za bei rahisi watu hawaelewi, hio bei imeipita hadi samsung galaxy j7 pro ambayo inapatikana around 500,000 mpaka 550,000, ambayo inatumia equivalent soc sawa na hio tecno. huyo ni Samsung kuna simu hizi
-xiaomi redmi note 4, redmi 5 na 5 pro, note 5, mi A1 etc zote ni bei rahisi sana zikiwa na specs zaidi.
-Huawei Honor 6 na 7 series zote ni kali na bei rahisi zaidi
camon x au x pro? maana inaonekana zipo mbili
redmi 5 ni kama camon x na redmi 5 plus ni kama camon x pro.
xiaomi ina battery kubwa na overall perfomance yake itakuwa kubwa kuliko hio Honor 9,
sijacheki camera na vitu vyengine vidogo vidogo. unaweza kwenda youtube kwa camera comparison.
kama unataka optimization tafuta mi A1 ambayo inatumia stock android.
Miui ambayo inakuja na xiaomi nyingi si katika interface ambazo ni nyepesi, na hili lipo kwa wachina wote kina huawei hadi Tecno.
samsung anatumia touchwiz/grace ui si katika user interface ambazo zipo faster.
umewahi tumia simu yoyote ambayo ni karibia na stock ui? kama vile sense ya HTC, lineage os, simu za nexus na pixel etc
una xiaomi ya miui hapo? nenda setting kisha kwenye ram management angalia una free ram ngapi kati ya ram ngapi
color os siku hizi ni kama miui tu, sababu zipo bloat za kutosha. labda useme angalau oxygen os ya oneplus
Cheki hapa[emoji116]Inauzwa wapi? Ninahaja nayo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]Hajamfikia mnyama wangu ase samsung tudumuOS: Android 7.0 Nougat
4G LTE: Yes
Fingerprint: Yes
Screen Size : 5.7 Inches HD IPS Touchscreen
Screen Resolution: 720 x 1440 pixels (364 PPI)
Processor Type: Quad-core 1.25 GHz Cortex, Mediatek chipset
RAM: 2GB
Internal Storage: 16GB.
External Storage: microSD, up to 128GB Back Camera: 13MP LED Flash
Front Camera: 13MP with LED flash
Battery: 3000 mAh (non-removable)
mkuu samahan hiyo ni bei hqdi inakua mkononi mwangu???.....
na je nikitaka kuagizia kupitia wewe jumla gharama itakua shingapi??...i mean kila kitu hadi naipata mkononi...asante...
naomba msaada mkuu msauzy
cc:msauzy
sawa mkuu..Yap... Kwa exchange rates za leo ni TZS 290,424, ukitaka kuagiza kupitia mm utanilipa 20k, ila ni kwa wakazi wa Dodoma. Nakushauri umtumie Mwl.Rct atakufikishia popote ulipo,
Ahsante.
Wakuu hii simu anaeifahamu vizuri anifahamishe maana inaukubwa wa nchi 6 na swali langu inauzwa bei gani kwa sasa ktk maduka yao? Je Tecno sasa wamekuja na ubora mpya wa hii Camon X? Karibuni.
Tecno nawakubali kwa kamera tu si kingineKwahiyo unataka unambie Tecno anamfunika Xiaomi kwenye camera ni Xiaomi gani uliowai kuitumia ikawa na camera mbaya?
Sasa hizo Tecno zenye camera nzuri bei yake inakuwa kubwa mnoo, kama hii Camon X.... Ndio maana tuna recommend Xiaomi Redmi coz ya unafuu wa bei. Simu ya Tecno inayouzwa 550k uki compare na simu ya Xiaomi yenye specs kama hizo hizo za Camon X unaipata chini ya 350k, tena inaweza kuwa ni nzuri kuliko hiyo ya Tecno.Tecno nawakubali kwa kamera tu si kingine
Asante sana ngoja nikaicheki huko.Cheki hapa[emoji116]
Global Version Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB 5.7" HD 18:9 Full Screen Smartphone Snapdragon 450 Octa Core Fingerprint ID MIUI9 3300mAh
Global Version Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB 5.7" HD 18:9 Full Screen Smartphone Snapdragon 450 Octa Core Fingerprint ID MIUI9 3300mAh-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group