Hii simu imeganda, baadaye ikazimika kabisa

ahaa kwahyo huenda kuflash kukasaidia,hawawezi wakaiua kabisa kwel!!
Mkuu kwa state iliopo software wise kilichobakia ni kuflash. Hivyo angalia mwenyewe. Na huko kuflash kunaweza pia kusikusaidie kama ni tatizo la hardware.

Na simu za zamani unaweza kuta tu battery limelegea ukiliwekea kikaratasi kwa nyuma ikafanya kazi.
 
asante kiongozi kwa hapa dodoma wana ofisi kweli??au hadi nikirudi dsm kariakoo kule
Kwa dodoma sijui ila inawezekana wana collection point ya kukusanya simu na kuzituma Dar kwa marekebisho. Huwa hata Arusha kuna baadhi ya matatizo wanazituma Dar zinakaa kama wiki 2 zinarudishwa.

From JF App
 
ahaa ngoja nijaribu kuwapigia kuwauliza nimepata mawasiliano yao
 
shukrani mkuu ngoja nifanye taratibu
 
hahaha huenda hawa tecno ndo mchezo wao
Na kwa Tecno ikishatokea hivyo ikapona kabisa mshukuru Sana mungu wako huwa hata ikipona ipo siku ugonjwa utarudi na kiufupi ndio kifo Cha simu hiyo kinakuwa kishafika
 
Na kwa Tecno ikishatokea hivyo ikapona kabisa mshukuru Sana mungu wako huwa hata ikipona ipo siku ugonjwa utarudi na kiufupi ndio kifo Cha simu hiyo kinakuwa kishafika
aisee nimekupata vyema
 
ikiwaeweza itume ktk basi nikupigie gharama ni zako za usafiri !ukishindwa unaweza niuzia kama spare njoo in box
 
Ulitakiwa ufanye hard reset ingewaka
 
Yaani pale ilipokuwa ikiwaka na kuonesha logo, nilishawahi kuletewa Tecno ina tatizo hilo nikaifanyia ikawaka. Hiyo ilipofikia ipeleke Carl care
gharama zao zikoje kwa sim ambayo warranty imeshaisha na hata risiti sina
 
Wapigie simu wana namba zao, watakutajia
asante kiogozi .

halafu ha hapa nimechukua haka ka tecno s2 natumia wakati nasubir kutengeneza hiyo simu .

aisee ni nzito balaa unaweza kufungua app ya wasap ikaganda kama sekunde 30 ndo inafunguka halafu notification zinachelewa sana

unaweza kuta messages za jana zinaingia leo na mtandao upo vizur tu sasa tatizo nin
 
Ungekua Dar tungefanya kitu.

Kama unaweza boost battery kisha washa simu. Ikishawaka kuishia kwenye logo siyo tatizo kubwa, tutasolve
 
Hiyo s2 kama una apps zisizo na msingi zifute. Kama lazima uwe na fb tumia fb lite, usiwe na videos nyingi wala picha
 
Ungekua Dar tungefanya kitu.

Kama unaweza boost battery kisha washa simu. Ikishawaka kuishia kwenye logo siyo tatizo kubwa, tutasolve
upo maeneo gani dsm. naweza kumuagizia ndugu yangu akaileta hapo uijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…