The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Unacheza na kifo,alitumia misuli ya shingo kukata kamba hapoKilicho Kata kamba ni nini sasa
Jamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!Kwani yeye alitaka kufanya nini? Maana tayari alikuwa anarahisishiwa safari au hakuwa amejiandaa
Hakugongwa na nyoka mkuu, ila alijitundika ili ajinyonge kuona nyoka hata sijui kafanyaje ile wasiwasi hadi kamba imekatika hivyo anakimbia nyoka asimgonge angalia na stuli ipo pembeniJamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!
hapo ndipo safari ya matumaini inapobadilika na kuwa safari ya mabadiliko
Just a jokeHakugongwa na nyoka mkuu, ila alijitundika ili ajinyonge kuona nyoka hata sijui kafanyaje ile wasiwasi hadi kamba imekatika hivyo anakimbia nyoka asimgonge angalia na stuli ipo pembeni
Sasa adrenaline si ilikuwa imejiandaa kufa tena kifo cha taabu,sasa kwanini hiyo adrenaline iogope kifo chenye unafuu.Ha ha ha! The adrenaline effect, mtu anaweza kufanya jambo la ajabu akiwa kwenye state hiyo.
Ha ha ha! Snake anatisha bhana.Sasa adrenaline si ilikuwa imejiandaa kufa tena kifo cha taabu,sasa kwanini hiyo adrenaline iogope kifo chenye unafuu.
Aina nyingi sana za wanyama zinamgwaya huyu nyoka nafikiri hata Simba naye hapendi kumuona...binafsi sipendi kukutana naye ila akinikuta anga zangu nitamuua tu maana hakuna namna.Ha ha ha! Snake anatisha bhana.
Sure!Aina nyingi sana za wanyama zinamgwaya huyu nyoka nafikiri hata Simba naye hapendi kumuona...binafsi sipendi kukutana naye ila akinikuta anga zangu nitamuua tu maana hakuna namna.