Hii sijui imekaaje

Hii sijui imekaaje

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,409
Reaction score
1,811
1460016311988.jpg
 
Kwani yeye alitaka kufanya nini? Maana tayari alikuwa anarahisishiwa safari au hakuwa amejiandaa
 
Hii njia mpya ya safari haiendani na kasi ya njia yake ya safari aliyokuwa ameipanga hapo mwanzo.
 
kila safari na njia yake. jamaa ana msimamo sana
 
  • Thanks
Reactions: ydn
hahaaaa tehte ehh eh teh..... 😀😀😀 mbavu zangu jamani
 
hapo ndipo safari ya matumaini inapobadilika na kuwa safari ya mabadiliko
 
Kwani yeye alitaka kufanya nini? Maana tayari alikuwa anarahisishiwa safari au hakuwa amejiandaa
Jamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!
 
Jamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!
Hakugongwa na nyoka mkuu, ila alijitundika ili ajinyonge kuona nyoka hata sijui kafanyaje ile wasiwasi hadi kamba imekatika hivyo anakimbia nyoka asimgonge angalia na stuli ipo pembeni
 
Ha ha ha! The adrenaline effect, mtu anaweza kufanya jambo la ajabu akiwa kwenye state hiyo.
 
Ha ha ha! The adrenaline effect, mtu anaweza kufanya jambo la ajabu akiwa kwenye state hiyo.
Sasa adrenaline si ilikuwa imejiandaa kufa tena kifo cha taabu,sasa kwanini hiyo adrenaline iogope kifo chenye unafuu.
 
Alitaka kwenda na trekta mara ikaja bodaboda,akaghairi
 
Ha ha ha! Snake anatisha bhana.
Aina nyingi sana za wanyama zinamgwaya huyu nyoka nafikiri hata Simba naye hapendi kumuona...binafsi sipendi kukutana naye ila akinikuta anga zangu nitamuua tu maana hakuna namna.
 
Aina nyingi sana za wanyama zinamgwaya huyu nyoka nafikiri hata Simba naye hapendi kumuona...binafsi sipendi kukutana naye ila akinikuta anga zangu nitamuua tu maana hakuna namna.
Sure!

Jamaa ana timing sana, ila ukimuwahi huwa hana ujanja.
 
Hahahaah eti kila safari Na njia yake......!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom