Hii sijawahi kunywa kwa kweli

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Mlevi mbwa mmoja siku moja aliwastaabisha watu pale alipopelekewa pombe aina zote unazojua ww. Kila pombe alipewa robo kwenye glas na kuweza kutambua. Walipoona wanakaribia kumshindwa, mdau mmoja akaweka maji kwenye glasi na kumpa. Jamaa alionja na kusikilizia lakini hakujua ni pombe gani. Akaomba kuongezwa akachemka tena na kusema, 'kiukweli hii sijawahi kuinywa!'
 
hajawahi kunywa maji, akihisi kiu, pombe......... funny
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…