Hii si haki

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Kuna mtandao mmoja ambao nipo ila huwa members wakika mda mrefu hupewa kuwa maadmin bila kuangalia ana upeo gani kuhandle emotions, free expression kupitia saikolojia.

Kuna mmoja alikuwa wa kitambo sana alikuwa ana date mwanamke ila mimi nikawa mgeni na nikam overlap na kumteka yule mwanamke kwasababu alipewa priority ya kuwa admin alikuwa akifunga thread zangu hata ziwe za msingi.

Kuniblock nisi sign up, kutoa siri zangu kwa id tofauti sasa kiungwana kuwa kiongozi hisia za nini kazini fata protocol ya kazi na cabinet iwe atleast na saikolojia na falsafa kubwa.
 
Hiyo habari kwa nini unaileta huku jf? Au hayo mambo yalitokea hapa JF?







j
 
me sijui sijakuelewa au! huo mtandao na jf wapi na wapi au wahusika wapo humu jf
 
Vp tena umepotea njia nn! Pita hivi...... basi maana sikuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…