KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,635
- 89,398
Mbona wengine wanaiba bila kujulikana..Mmmmhhh!!! Kubaka bila kujulikana ni balaa
kama vipi hama mtaa usije ukajinyonga bure
Mbona wengine wanaiba bila kujulikana..Mmmmhhh!!! Kubaka bila kujulikana ni balaa
sasa ni kulenga pembeni tuUsikute na mkulu akiwa anatoa ujumbe unakuwa umelenga pembeni 🙂🙂🙂
we ni me au ke? maake hiyo avatar yako inaakisi kuwa we ni ke..Mbona kama Ashura mpangaji jirani yangu.Ananiiumiza sana huyu dem kila nikimtokea napigwa kibuti
...maji si hayo yanatoka???
kwani na wewe ulifikiri namaanisha hivyo???Kwani na wewe ulifikiri maji kweli? Hapa full tafsida
Na mapenzi ya wizi wizi ni matamu bwana asikwambie mtu.Kabisa Nyumba za kupanga zinaongoza kwa michepuko Yale mazoea ya ukaribu lazma watu wapeane utamu daah
kwani na wewe ulifikiri namaanisha hivyo???
Inaelekea keshajiandaa kabisa kupata 'majimaji'!😀😀😀
Uwezo wako wa kuona mpaka gizani umenishangaza sana! Hebu tupe nasi maujuzi yakuona yaliyojifichaHakosi shanga kiunoni huyu[emoji39] [emoji39] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwezo wako wa kuona mpaka gizani umenishangaza sana! Hebu tupe nasi maujuzi yakuona yaliyojificha
Ila kuishi uswazi sometimes kuna raha yake hapa nasubiri ndoo ijae nikamtwishe
We jamaa mzinzi sana..!Nice....