idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,282
- 38,359
Haitaki kukosolewa wala kuambiwa ukweli, wakati vyombo vya kuikosoa na kuisahihisha vipo kikatiba na sheria.
Inajiona iko sahihi kwa kila jambo, nafasi ya Bunge, Mahakama na uhuru kuongea na kujieleza vinakosa nafasi awamu hii.
Binafsi nilitegemea kwa kasi ya serikali hii basi wale watakaoweka Madudu ya watumishi na serikali hadharani watawekwa kipaombele ili iweze kujisahihisha.
Je, serikali iliyopita nikisema ilikuwa jasiri na ilijiamini kuliko hii nitakuwa nimekosea.?