Hii sentensi nimeisikia sehemu imenigusa sana

Kuna mambo ukishachanganya na tumbo hutokaa huamini kitu ambacho unaweza kukikipitisha wewe kama mwenye dhamana juu ya jambo flani!

Kiukweli tumbo na kutafuta wingi vina balaa vitu hivyo vitu usiombe
 
Sentensi yenyewe ni hii: "Tanzania tuna wasomi wajinga"

imenigusa kwa sababu imejaa ukweli, kweli tupu!

JESUS IS CHRIST
Ukweli ni kwamba Watanzania walio wengi bila kujali level ya Elimu yao ni Wajinga. Kusema wasomi ni wajinga ni kujaribu kukwepa uwajibikaji kwa baadhi ya kundi katika jamii kua wao ni tofauti na walio amua kwenda shule.

Ifike mahala tuseme Sisi Watanzania kwa ujumla wetu wote ni Wajinga.
 
Poor governance sapport
Availability of Capita
Poor transport and communication skills
Low level of technology
Basi sawa point zako 4 nimezielewa..but let us speak friendly mi naona ujinga wa wasomi baadhi yao pia unasababishwa na kukosa knowledge/maarifa ya kutosha.
 
Sentensi yenyewe ni hii: "Tanzania tuna wasomi wajinga"

imenigusa kwa sababu imejaa ukweli, kweli tupu!

JESUS IS CHRIST
100% Emma kapiga kwenye uhai hii ni ukweli sana, kuuwa ujinga kwenye hili taifa imekuwa mtiani sasa tunauzika ukiwa hai
 
Back
Top Bottom