hii sasa kali....

emmy 2nyi

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
66
Reaction score
25
wanao pendwa wanawatenda wenzi wao na wasio pendwa wanatafuta mapenz ya kweli..... daaaaaaaaaa! hii nouma!
 
yataka nguvu ya ile kitu ya collorado ili nichangie thread za leo
 
wanao pendwa wanawatenda wenzi wao na wasio pendwa wanatafuta mapenz ya kweli..... daaaaaaaaaa! hii nouma!

Love is a viscious circle. The one that you love loves another who loves someone else and the trend continues
 
Mpaka upedwe pendwe,si ujipende mwenyewe tu,kama watu hawakuoni
 
Weka picha

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Teenager love, or love at first sight, hujui kama kuna siku utaachwa, hujui kama kuna siku utatendwa hujui kama kuna siku utasalitiwa hujui hujui hujui na ukijua it is too late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…