Amaizing Mimi JF-Expert Member Joined Feb 2, 2019 Posts 527 Reaction score 1,161 Jul 12, 2022 #1 Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,569 Reaction score 4,465 Jul 12, 2022 #2 Rupia hiyo ya Africa Mashariki enzi za mjerumani na haina thamani yoyote zaidi utatapeliwa tu na wajanja wa mjini we niki kuuliza cent 10 ya zamani kwa leo ina thamani gani utaniambia ni sawa na shingapi.?
Rupia hiyo ya Africa Mashariki enzi za mjerumani na haina thamani yoyote zaidi utatapeliwa tu na wajanja wa mjini we niki kuuliza cent 10 ya zamani kwa leo ina thamani gani utaniambia ni sawa na shingapi.?
Vibranium Senior Member Joined Nov 17, 2018 Posts 193 Reaction score 447 Jul 12, 2022 #3 Sarafu ya mjerumani hyo, neno HELA asili yake ndio hapo sasa
Copy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,072 Reaction score 1,382 Jul 12, 2022 #4 Nhalabwajila said: Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa? Click to expand... Hebu ingia gugo kwanza uone. Simu unayo Ila unakuwa mvivu Sana mkuu!
Nhalabwajila said: Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa? Click to expand... Hebu ingia gugo kwanza uone. Simu unayo Ila unakuwa mvivu Sana mkuu!