Sio kila kitu nikufanya saprice, hili ujenz angepaswa akujulishe mapema, ila yawezekana hua mnapeana saprice ata kwenye vitu vikubwa ila hakuna shida muongee muweke sawa vitu gan vya saprice na vyakushirikishana mapemaSalaam Wapendwa
Mi bado ni mgeni kwenye hii taasisi ya Ndoa..Japo kuna changamoto za hapa na pale ila Nashukuru Mungu bado hazijanizidi uwezo..Ila hii ya Juzi imenifikirisha kidogo.
Mi na wife tunashauriana,Shirikishana na kupanga mengi kwa Pamoja..Juzi kanichukua na kunipeleka maeneo ya Bunju kwa madai ya kwamba kuna sapraizi anataka kunifanyia..Nikajua uenda amenunua shamba anataka kunionyesha Au alishalima anataka kunionyesha maendeleo ya mazao yake..Mana kuna kipindi stori za kilimo zilikuwa hazikauki ndani ya nyumba..
Kinyume na mawazo yangu..Baada ya kufunguliwa kitambaa usoni Nakutana na Nyumba ambayo hiko kwenye hatua za Mwisho kabisa Kukamilika..Nikashikwa na Bumbuwazi baada ya kuniambia ni nyumba yetu..
Sina wasiwasi kwamba atakuwa kajenga kwa nguvu zake..Ila najiuliza mbona hajawahi kunishirikisha wala kugusia hili swala..Nilipomuuliza akaniambia hakutaka kunishirikisha kwa sababu alitaka iwe sapraizi...Hii ni sawa kweli kwa wanandoa??..
Embu naombeni mawazo yenu ya chap chap kabla na mi sijaamua kumuanzishia sapraizi mfululizo
kaka msalimie wifi.. kaka me ni dada yako usimfokee mwache aendelee na ujenzi mkimaliza mwambie muipangishe hiyo nyumba halafu mjenge nyingine tena .. nina maanisha najua wanawake kaka yangu sitaki kukuona umepata shida na ukafa kabla ya wakati sitaki kusemea kuwa kajengewa hapana ila utashindwa kuwa na control kaka yangu nakupenda bado kaka. haya pole na hongera
kumbe kaka yangu kawa muhuni na yeye nimeumia sana sababu nimeingiwa na roho ya huruma piaMiss umetumia nguvu sana kumshauri Kaboom, ila story zake siku hizi ni kama za kuamini robo na nusu.
kumbe kaka yangu kawa muhuni na yeye nimeumia sana sababu nimeingiwa na roho ya huruma pia
Sista wifi yako amenipa mawazo aisee..Hapa sielewi kuna sapraizi gani nyingine inakujakaka msalimie wifi.. kaka me ni dada yako usimfokee mwache aendelee na ujenzi mkimaliza mwambie muipangishe hiyo nyumba halafu mjenge nyingine tena .. nina maanisha najua wanawake kaka yangu sitaki kukuona umepata shida na ukafa kabla ya wakati sitaki kusemea kuwa kajengewa hapana ila utashindwa kuwa na control kaka yangu nakupenda bado kaka. haya pole na hongera