Tumebeba majeneza yetu, tuliyatengeneza kwa mikono yetu sasa tunasafiri nayo pindi tukifa tunatumbukizwa salama
Na nibora kwa kiarabu pia.ya nini kusumbuka na majeneza ? mtu arudishwe kwenye udongo tu na sanda pekee - ni bora na nafuu kwa mrehemu, kwa wafiwa na kwa mazingira !