Ninavyoelewa aliyewasimamisha ni wizara siyo Chama cha Wauguzi Tanzania! Sasa wamepata wapi nguvu ya kutoa majibu kabla ya Waziri mwenye dhamana na Wizara husika?
---
Chama cha Wauguzi Tanzania kimebaini kuwepo kwa mgogoro binafsi kati ya watumishi wa Zahanati ya Ishihimulwa waliorekodiwa kwenye video iliyosambaa mtandaoni na kuwa kabla ya kuanza kurekodi, Mtekinolojia wa Maabara alikuwa amemtusi Muuguzi hali iliyofanya Muuguzi kughadhabika.
Ninavyoelewa aliyewasimamisha ni wizara siyo Chama cha Wauguzi Tanzania! Sasa wamepata wapi nguvu ya kutoa majibu kabla ya Waziri mwenye dhamana na Wizara husika?View attachment 2478282

Mimi haingii akilini hata kidogo issue siyo kutukanwa na ule ugomvi haukuwa na dalili ya mtu kutukanwa ,hayo mme leta ninyi,msitake kumgeuzia dogo kibao