Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 83
Mwananyamala koma koma slaa slaa nukta nukta kwa kidala gereji. Wataipaint pale.Ukipigwa pasi bongo utai-paint wapi?
Mwananyamala koma koma slaa slaa nukta nukta kwa kidala gereji. Wataipaint pale.Ukipigwa pasi bongo utai-paint wapi?
kaka natafuta milango na mashavu (mudguards) ya mbele ya landrover ya namna hii, nimeshatafuta mpaka jeshini almanusura wanichape.huu ndio ugonjwa wangu, mashine niliyoanzia maisha
![]()
kaka natafuta milango na mashavu (mudguards) ya mbele ya landrover ya namna hii, nimeshatafuta mpaka jeshini almanusura wanichape.
karibu bongo kijana...lol!TUTAKUTANA BONGO, MI NA MIGUU MIWILI TUU, HIVI NDIVYO NTAKAVYOINYUKA FOLENI AKA MINYOROROS BONGO, hata kama mwili wangu ndio utakua bodi, hiki kitu tayari kabisa kinakula box na kung'ta contena mpaka bandari ya salama:lol:![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
karibu bongo kijana...lol!
inauma sana kumpoteza kijana mapema akiwa bado anahitajika na taifa
karibu bongo kijana...lol!
bongo watalikwaruza sana tuOnly in UAE!!!
my dream car, yani uniambii lolote kuhusu hili gari nalipenda balaa.
View attachment 55665Hii haina mpango, kitu EVOGUE ni nzuri mara mia ya hiyo, na economical mara mia ya hiyo! Nadhani itakuwa imeshaingia sokoni.
View attachment 55665
View attachment 55666
Siyo tu imeshaingia sokoni,Kifupi wabishi hapa town tayari tunazo mkuu