Hii ride inagusika?...

Hii ride inagusika?...

maneno yote ki corola changu nusu lita misele kutwa
 
huu ndio ugonjwa wangu, mashine niliyoanzia maisha

640_67Nada109_1.jpg
kaka natafuta milango na mashavu (mudguards) ya mbele ya landrover ya namna hii, nimeshatafuta mpaka jeshini almanusura wanichape.
 
kaka natafuta milango na mashavu (mudguards) ya mbele ya landrover ya namna hii, nimeshatafuta mpaka jeshini almanusura wanichape.

nenda kwenye garage za uchochoroni zipo nyingi sana au muagize fundi yoyote atakutafutia sasa hivi londo nyingi sana zipo juu ya mawe
 
Kwa nini usitafute bati la kawaida ulichonge vizuri linaweza kuendana vizuri na hadhi ya gari hilo 109.
 
TUTAKUTANA BONGO, MI NA MIGUU MIWILI TUU, HIVI NDIVYO NTAKAVYOINYUKA FOLENI AKA MINYOROROS BONGO, hata kama mwili wangu ndio utakua bodi, hiki kitu tayari kabisa kinakula box na kung'ta contena mpaka bandari ya salama
738b607bjw1dnhxqvcn3eg.gif
:lol:
afx_fx17skull_helmets.jpg

05072010074-1.jpg

05072010092.jpg

05072010091-1.jpg
 
karibu bongo kijana...lol!
 
lets keep dreaming sister........bt one day au co!!!check out the evo q version of the range rover super hot!!!
 
kudadadeki dis must be Bongo niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiice!!!dats one heck of a ride
 
Njoo kwa YESU utavipata. Kumbuka fedha na dhahabu ni mali ya Bwana
 
Back
Top Bottom