Una miaka mingapi mkuu maana hiyo idadi haizidi mwaka mmoja na nusu unakua ushatimiza tena kwa sisi wastaarabu.bora h hali iendelee hv hv mana wengne tunataka kugonga mademu 20+ ndipo tuoe
Una miaka mingapi mkuu maana hiyo idadi haizidi mwaka mmoja na nusu unakua ushatimiza tena kwa sisi wastaarabu.
📌 📌 📌Mbona Mungu hajacomplectisha saaana endapo ukiwa katika sheria zake 100%.
Kazi ni rahisi saana ukioneshwa na Mungu. Ingawa ubatili ni mwingi sana
Wachache sana au?Una matatizo ya afya mkuu? Mwaka for 20?
Wachache sana au?
Yoooooooooobora h hali iendelee hv hv mana wengne tunataka kugonga mademu 20+ ndipo tuoe
Mbona Mungu hajacomplectisha saaana endapo ukiwa katika sheria zake 100%.
Kazi ni rahisi saana ukioneshwa na Mungu. Ingawa ubatili ni mwingi sana
Sisubiri hata naendelea na ishu zingine kama kawaidaUnasubiti kupendwaa 😳😳😳.... utachelewa sanaaa
Mungu anaruhusu uzinzi kabla ya ndoa? Umeanza kuzini ukiwa na umri wa miaka 16 kabla ya ndoa halafu Mungu akusaidie vipi? utakuta mtu anawapenzi 2 na kuendelea halafu na yeye anamuomba Mungu amsaidie kwa lipi? Mungu anahitaji mtu anayefuata sheria zake. Umejuaje kama unayempenda hakupendi na yule usiyempenda anakupenda? ACHENI UZINZI NDIYO MTAONA MKONO WA MUNGU. UKIMTUMIKA MUNGU KATIKA KWELI HAYO MAPUZZLE HUWEZI KUYAONANimpendaye hana habari na mimi
Anayenipenda hata ajitahidi vipi tena jitihada zake za kunifurahisha ndio naziona kero sasa
Mungu angerahisisha tu awakutanishe kwa urahisi wapendanao kwa dhati na si kwa sababu fulani.
Eeh Mungu twakuomba utusikie!
Mungu anaruhusu uzinzi kabla ya ndoa? Umeanza kuzini ukiwa na umri wa miaka 16 kabla ya ndoa halafu Mungu akusaidie vipi? utakuta mtu anawapenzi 2 na kuendelea halafu na yeye anamuomba Mungu amsaidie kwa lipi? Mungu anahitaji mtu anayefuata sheria zake. Umejuaje kama unayempenda hakupendi na yule usiyempenda anakupenda? ACHENI UZINZI NDIYO MTAONA MKONO WA MUNGU. UKIMTUMIKA MUNGU KATIKA KWELI HAYO MAPUZZLE HUWEZI KUYAONA
Ndo mana nimesema kwa sisi wastaarabu.SANA!
Ndo mana nimesema kwa sisi wastaarabu.