Hii picha ni wapi tena hapa watu wanataka kunyonya mafuta

Hii picha ni wapi tena hapa watu wanataka kunyonya mafuta

hapo walikuwa wanatukana kwanini halikuw ana mafuta ili waibe, pumbafu sanaaaa
 
Waanze na kutoa battery! Au wavute bangi ili iwape nguvu ya kuchota mafuta!
 
Nadhani lilikuwa tupu hilo ila huyo mama nadhani dawati linamhusu. Huko ni kuhatarisha maisha ya mtu mwingine asiye jiweza. Kifungo kinamhusu
 
La dizel unanyonya tu amna shida....

Zingatia:: ni baada ya kuwaokoa manusura wa Ajali na mlinzi mmoja awekwe kwenye betri.
Hahahahaha sio waanze na hiyo betri kabisa maana mlinzi akisinzia tu yule teja anaharibu sherehe tena nakuleta msiba
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
La dizel unanyonya tu amna shida....

Zingatia:: ni baada ya kuwaokoa manusura wa Ajali na mlinzi mmoja awekwe kwenye betri.
Huyo mlinzi yeye ataambulia nini! mtamlipa?
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Hahahahaha sio waanze na hiyo betri kabisa maana mlinzi akisinzia tu yule teja anaharibu sherehe tena nakuleta msiba
Hahahah..... Ni bora wateue uongoz na kamat maalum ya usimamiz wa Betri
 
Back
Top Bottom