Hii picha inatufundisha nini!



Ngoja waje.....
 
Ofcourse everybody is happy wearing a big smile akishaapishwa sidhani kama anahitaji bodyguard labda kwa ajili ya kumlinda na hawa jamaa wa mtaa wa pili.

Watu kutwa wanahangaika na bango moja kkoo wao wamejaza nchi nzima ndo mana maulana alituficha kuhusu kifo mana hawa jamaa wanavyotapatapa kweli roho haitoki kirahisi
 
Mnaambiwa mseme aichoiba mnabaki na porojo tu, walioiba na kukamatwa live ni wale wa ESCROW ambao 100% bado wapo CCM na cha kusikitisha ndiko unakokushabikia lakini kwa kuwa ni mpumbavu haulioni hilo.
Povu la nini dogo? Soma tena comment yangu mi sijashabikia cho chote na wala sijatukana mtu. Usidhani kuwa kila mwenye mawazo tofauti na yako anashabikia cho chote. Wengine tupo na fikra zetu kamili tunajitambua na hatujageuzwa Misukule ya kifikra inayofuata mkumbo tu bila kuelewa kinachoendelea. Pole yako na upumbavu wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…