Hii picha inatufundisha nini?

Raha jipe mwenyewe,hasa ulizozikiosa wakati fulani.
 
Inatufudisha kuwa "Life is too short enjoy while you still can"
 
inatufundisha ni muhimu kupumzika kwa kubembea inasaidia kusahau umaskini na shida nyingine
 
inatufundisha kuwa, rais anatafuta wawekezaji wa mabembea kwa hali na mali, hapo yupo jamaica akijaribu kumshawishi mmiliki wa hilo bembea aje awekeze ma-bembea kibao huku bongo.....sasa ndio alikuwa analitest aone kama lina fleva gani...
 
kwi kwi kwi uwiiiiii mbavu zinauma sana ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Inatufundisha, kubembea si kwa watoto tu bali na watu wazima tena hata wenye nyazifa kubwa kubwa
 
Pia inatufundisha unaposafiri mbali ongozana na mkeo,na unatakiwa kukaa close naye kama muheshimiwa wetu anavyoonekana yuko beneth na 1st lady.
 
inatufundisha kuwa, rais anatafuta wawekezaji wa mabembea kwa hali na mali, hapo yupo jamaica akijaribu kumshawishi mmiliki wa hilo bembea aje awekeze ma-bembea kibao huku bongo.....sasa ndio alikuwa analitest aone kama lina fleva gani...
Teh! teh! teh! hii kali
 
Bembea ni kwa chekechea tu, ukiona m2 mzima kaipanda ujue kichwa chake ni kama fuu la nazi vile!
 
tupende utalii na tule good time hata kama tunashida zinatukabili na hatuna uwezo wa kuzitatua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…