Nilikuwa najaribu kumtathmini mtu aliyeandaa hiyo "Sitting Plan".
Nikajiuliza, hata kama Mwenyekiti wa EAC for the time being ni UK anayepaswa kuwa katikati (which is fine), Je aliyepanga huo ukaaji ilikuwa ni lazima awaweke karibu YM na PK?
Tatizo uelewa umeulizwa kuhusu ccm?
Nafasi zoko sawa kt Ya marais wote hapo ni pembe gani alipo simama mpiga picha.
SIASA ZINA WAHARIBU MPAKA MNASHINDWA KUTOFAUTISHA MAMBO!
Kuweni wazarendo,mambo Ya vyama ni kwenye uchaguzi ,unachagua chama tutakachoamini kitatuletea mabadiliko lakini siyo kila wakati ni siasa .
TUSIKALILI MAMBO