NamnyakNancy
Senior Member
- Jan 13, 2015
- 113
- 76
Sijui udini umetoka wapi hapa?!!!:what::what:Dah wakristo makatili sana walaaniwe
Mbona na waarabu walioleta uislam nao walifanya biashara za utumwa au umesahau hilo!!!. Hamna aliekuwa mwema wala msafi enzi za utumwa
Si vyema kulaani watu ovyo . Hujui alaanie nae kalaaniwa?!