Mzazi wahuyu Mtoto yupo kweli.
tatizo gani?Hali ya uko Kenya inahatarisha maisha ya watoto wadogo kama uyu. Kwanini serikali isikae chini wakatatua hilo tatizo?
View attachment 354135
Ndiyo and Raila is winninh the battle kama ulisikia leo Citizen TV ?? katika news analysiswanataka tume huru ya uchaguzi.
wakenya wanataka tume huru ya uchaguzi na mapambano hayo yanaongozwa na Raila. Anaeleka to win the majority of Kenyans. Leo mahakama imeruhusu maandamano makubwa kudai tume huru. Polisi walikuwa wamezuia!Sijasikia,naomba unijuze kilichoendelea uko Kenya.
VTanzania sasa tuende mahakamani tukadai maandamano nchi nzima ya kudai katiba mpya. Hatutaki usanii wa msoga kusubiri muda umekwisha anaanzisha mchakato butu na kwa uswahili anaukimbiza kimbiza kwa kisingizio cha muda mara fehda mara nini.
Tunahitaji katiba ya wananchi!