anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 484
Jamii imekengeuka sana
Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana
Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti..
Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba?
Nauli kutoka kwenye kamshahara.
Kodi za nyumba kutoka kwenye kamshahara?? Mbona maafisa wanapewa posho?? Kwan hawana mishahara?
Atokee basi mwenye huruma azingatie mahitaji ya walim wetu ni porojo tu zinawajaa.
Wapeni basi mikopo isiyo na riba mikopo ikifika halmashaur, inapigwa siasa. Ualimu unawatesa Sana walimu