Hii pekee ipo Rwanda

Mkuu hata hao makahaba huko wako kazini mkuu kwa usalama wa taifa wao. Bongo kila mtu usalama kuanza madkatari,manesi,drva taxi,dukani, walinzi etc. chunga sana.
 
Vipi maeneo ya " Agency night club" ulipitia mkuu, kilikuwa kiwanja changu kile nilipokuwa Kigali mwaka jana. Mademu wakijua wewe ni m TZ wanashoboka kinoma.
Naachaje kwenda pale wenyewe wanapaita "ajanshe night club" wakimaansha Agency night club, nlienda VIP kule Deep club hatari tupu ndo huko nikatembelea nyota ya diamond platnumz kung'oa kazi ambayo sio hadhi yangu, world class girl. Rwanda, sijui next time nijifanye Banana zoro maana anakubalika kule pia.

Mwanzoni nilikuwa naona ishu ya diamond na kiba ni upunguani wa mawazo ila soon as nilipofika Rwanda ninaheshimu saana kazi ya diamond platnumz.
 
Mkuu umefanya ucku wang kuwa mzuri

.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une. ...
 
Jukumu la kitaifa, hahaaaaaa!
 
Kigali ni mji mzuri sana. Tanzania ni nchi yangu lakini likizo zangu nyingi huwa Tanzania nadunda then namalizia Kigali.

Ila hapo kwenye kung'oa demu mkali katika Night club kwa kisingizio cha ujirani na Diamond umejiongopea mwenyewe. Hata ungelisema wewe unaishi Tandale kwa Mtogole, still ungemng'oa. Yaani wao kwa ndio fani hasa kwa watz. Hawana tabu wale watu.
 
Nasikia pia Rwanda kuna utaratibu maalumu wa kupanda kwenye viahiace,watu wanapanga foleni,Hanna kusukumana,ni kweli mkuu uliyefika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…