Hii pekee ipo Rwanda

Dhuuu umenikumbuha mbali sana, Rwanda ndo nchi pekee niliona abiria wanapanda public transport kwa foleni
Rwanda ndo nchi pekee niliona ukipanda boda unapewa tissue flani hivi unaweka kichwani the unavaa ile helmet
Rwanda ndo nchi pekee nilishudia beki 3 wa kule ni vijana tena kabila la tusi

Rwanda ndo nchi pekee nilishangaa ukiwa na mahusiano na dem kwao lazima utambulike na karibia jiji lote wanawatambua sio zile mambo za huku kumiliki dem 3 (Kimara, Tabata Mbezi ukienda Mwz unao 2 BIG NO)

Rwanda ndo nchi pekee ukitongoza dem kuja umgonge sio leo wala kesho mpaka utambuliwe vizuri kwao na we historia yako ifahamike kwao tofauti na hapo kachukue wa kujiuza club
Rwanda ndo nchi pekee nilishangaa mke ana sauti na mamlaka kuliko mume
Rwanda pekee ndo niliacha gari nikapanda basi kwenda kulipa fine ya gari traffic anachukua bank slip tu
Kigari pekee ndo mji sijaona vitu wala bidhaa feki (na sijaona toyota noah na pikipiki sanlg)
Kigali pekee ndo mji mzuri na msafi kwa East Africa japo mji mdogo kwa ukubwa tofauti na Dar na Nairobi

Mambo ni mengi (hasa jumba la makumbusho) muda ni mchache
 
Kurwanda esp.pachigali is an enjoyable place, i wish my life get longer and longer ili niende tena may God bless me, nirefushie Maisha Mungu wangu nakupigia magoti nisaidie.
 
Kidogo niende Rwanda na Yanga basi tu nilikosa nauli ningeenda kuthibitisha haya ya huyu Mbaba.
 
Gharama ya nyumba za wageni.ikoje?
Hasa Self contained rooms?
 
Rwanda ni Tamu ukiwa na mambo za kawaida! Rwanda ya Moto mno ukiwa mtu ya Bitu Mingi! Sekunde tu wanazaa na wewe! Nchi nzima lao Moja! Kila pumzi unayovuta rwanda iko recorded! Kila utakachofanya kama Binaadamu yupo pembeni basi kipo ktk record! Mpaka siku utakayoondoka hapo! Ukienda dukani, ukichukua Manzi, unapolala, unapokula, usafiri, yaani kiufupi wale jamaa wana security moja haielezeki kwa wasiotaka kuelewa kwamba Ukiingia Rwanda uende na adabu zako Kamili. Hii sijaongea kwa kupepesa!
 
Loji zao Ni Bei gani mkuu. Gharama kula kawaida kuanzia Bei gani. I need Nika visit Rwanda. Ukienda siku chache Nina Imani hakuna haja ya viza labda mpakani uchukue karatasi. Naenda sex tours nikachenji mazingira
 
Nilimdadisi saana huyu jamaa nikajua ni raia anaeuza vocha tu kwani alivaa na kale kakizibao ka MTN.

Ikoje ya watanzania na waganda hii mkuu?
MKUU UWE NA AKILI HATA YA AKIBA UMEMUONA MTU KAVAA SARE ZA JESHI BADO UNAMUULIZA KAMA YEYE NI ASKARI KISA ANAUZA VOCHA !!!!! UMENITIA AIBU SIYO KILA KITU UTATAFUNIWA VINGINE JAZIA MWENYEWE RWANDA SECURITY YAO NI KALI SANA TOFAUTI NA UNAVYODHANI NA KURAHISISHA MAMBO, HUYO MREMBO ULIYEMCHUKUA PIA ALIKUWA KAZINI PANGETOSHA NINGEANDIKA KITU ALICHOKUULIZA NAWE UKAJIBU UKIDHANI NI MALAYA KUMBE Mhhh kalaghabhaho
 
Yalishanipata mimi sitaki tena kurudi huo ulichokisema ni ukweli asilimia zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…