Hii pekee ipo Rwanda

[emoji1] [emoji1] sasa mkuu sehemu yenye baridi kama iringa then godoro liwe na plastic litalalika kweli, maana hiyo plastic/nylon ikipoa hugusi godoro.
Ndo maana sisi wala mirungi kale kamfuko ka plastic tukoifadhia mirungi kanaitwa fridge maana kanapooza.
 
Mnakuza mambo. Hizo ni story za mitaani tu. Uhalisia haupo hivyo. Kwamba koki inamwaga maji mpaka godoro linalowa Si kweli.
 
Point ya mwisho imekaa poa.
 
Rwanda siyo mji ni nchi mji kuu wake ni Kigali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…