Hii nukta nyeusi kwenye Jua ni nini?

Hii nukta nyeusi kwenye Jua ni nini?

hiyo nukta nyeusi haipo... na yakuwekwa tu...haina uhalisia.
 
Hilo sio jua labda kwenu mnakijua cha kichina, tangu lini jua kali la saa sita halfu kuwe na giza
 
Duh, ni camera ya simu gani ambayo uliweza kufocus mpaka ukapata hiyo 'black spot' iliyo na umbali wa kilometa kadhaa toka duniani?
 
Lenzi ya kamera ni ndogo,ndiyo maana imetoa doti.
 
Huo ni mkaa bado haujashika moto, we piga picha baada ya dakika chache kama utauona tena
 
Back
Top Bottom