Hii nukta nyeusi kwenye Jua ni nini?

Hii nukta nyeusi kwenye Jua ni nini?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Wakuu habari,

Sina utaalamu sana na mambo ya Sayari. Leo mchana mida ya Saa sita jua linawaka niaamua kupiga picha jua. Kwenye picha kimetokea kitu cheusi ni nini hiki? 1447253224406.jpg
 
Hicho labda kilikuwa kwenye camera yako au UFO.
 
Nimepiga karibia picha nane na simu tofauti zote zimetokea hivyo hivyo. Sidhani kama kipo kwenye Camera yangu.
 
Wakati mwingine ukikaa peke yako unawaza mengi, nilikuwa nimelala chini ya mtu huku naangalia juu ndio hilo wazi likanijia.

sawa,kuna mtu humu alishahoji kwanini mtu akilala chali anakuwa anafikiri/anawaza sana,nimeanza kuelewa
 
Nakupongeza kwa kuliona doa kwenye jua. Kesho nitalitafuta. Nilipokuwa Butiama nilikuwa nawaona watoto wa shule ya msingi,very dangeruosly wanalutazama jua mchana wanasema wanaziona sayari mbili, tatu pale.
 
Bwana mkubwa na wewe kesho fanya huo utafiti wa "kuselfie" jua maana mimi nime li selfie hakikisha jua ni kali na muda ni Saa 6 mchana.
 
Back
Top Bottom