SINGLE RASHID
Member
- Nov 8, 2012
- 71
- 15
Kwanza nawasalimia wandugu,
Hvi huu mlipuko wa waganga wa kienyeji na vibao vya matangazo ndo ajira au njaa embu cheki hizi tiba...
pata dawa ya
1.kuongeza uume
2.kufanya mke/mume anase akifanya ngono nje
3.kuongeza makalio
4.kuongeza nguvu za kiume
5.shape
6.kuongeza akili darasani
mwisho namba ya simu
hapo sasa ndo balaa mkuu...jamaa yupo mwenge pale mitaa ya ITV kituoni anaongeza akili darasaniHahahahahahahahahahaha
eti kuongeza akili darasani!
kekundu kekundu by kwaya gani vile... mesahau jinalle?!!
Hapa umesahau kitu "KUMVUTA ALIE MBALI AU ANAEKUSUMBUA ANAJIFANYA MATAWI YA JUU" lolest !!
Wameshazisoma akili za wateja wao hasa vijana kuwa wanawaza ku-do tu !!
basi kwa matangazo hayo ni rahisi kupata wateja !!