hii nini tena?

Hawa jamaaa fulu vituko shida sanaaa aiseee daaaa
 
Mbona kawaida tu Babu yangu kule Misungwi mbona bado anaishi na mifugo yake ndani ya nyumba.... Mang'ati mbona nao wanawabeba mbuzi, kondoo migongon?????
 
Mbona kawaida tu Babu yangu kule Misungwi mbona bado anaishi na mifugo yake ndani ya nyumba.... Mang'ati mbona nao wanawabeba mbuzi, kondoo migongon?????

Kwenye executive house ? Misungwi/ Mangati nyumba ni sawa na kuwa nje tu/ porini. Ni kama mifugo wao wako porini tu na wala siyo nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…