mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,107 Reaction score 370 Oct 13, 2013 #2 Michezo ya watoto hii, usiogope hata kidogo
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Oct 13, 2013 #3 Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata.
Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata.
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Oct 13, 2013 #4 SHIEKA said: Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata. Click to expand... IQ yako mkuu iko juu sana!Wengine wangeishaanza kupiga simu Maliasiri waitwe askari wa wanyama pori!
SHIEKA said: Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata. Click to expand... IQ yako mkuu iko juu sana!Wengine wangeishaanza kupiga simu Maliasiri waitwe askari wa wanyama pori!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Oct 13, 2013 #6 Huu ni utabiri wa baadae...sitashangaa miaka mingapi ijayo!
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Oct 13, 2013 #7 Mara ageuke mamba kweli!
K kill JF-Expert Member Joined May 21, 2013 Posts 1,829 Reaction score 237 Oct 13, 2013 #8 ha ha hapo lazma mkojo uwe karibu chezea mamba wewe