hii nini tena

hii nini tena

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
316510_279985878710843_1735703530_n.jpg
 
Michezo ya watoto hii, usiogope hata kidogo
 
Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata.
 
Kwa kuwa hakuna maji yanayoonekana karibu, huyo ni mamba wa kuchonga, si halisi! Simhofii huyo mtoto hata.

IQ yako mkuu iko juu sana!Wengine wangeishaanza kupiga simu Maliasiri waitwe askari wa wanyama pori!
 
ha ha hapo lazma mkojo uwe karibu chezea mamba wewe
 
Back
Top Bottom