Hii nimeipenda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nimeipenda.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Jul 10, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Yaani tanesco kweli ni waadilifu, tena wala hawana upendeleo. Leo uwanja wa taifa muda wake wa kuwa na umeme ulipokwisha wala hawakujali yanga wala kagame, wamekata umeme. Hii inaonyesha jinsi gani wako serious na mgao wa umeme....maskin yanga wamekabidhiwa kombe gizani...
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hii ndio nchi yetu inabidi tuipende tu, kama vile viongozi wote wapo likizo.
   
 3. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sawa lakini mi nlidhani tanesco watatoa consideration kwa tukio muhimu la finali, kumbe wapi. Pata picha unaangalia dstv ghafla totorooo...tz zaid ya uijuavyo.
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hivi kweli uwanja ule hauna standby generator?
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Labda walikuwa wanataka kufanya utafiti kama mwanga wa kwenye simu nyingi unaweza kutoa mwanga wa kutosha uwanjani.
   
 6. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mkuu inawezekana maana watz wengi siku hizi wana simu za tochi. Msishangae serikali ya magamba ikawataka wananchi kununua simu hizo ili kupambana na giza, kwani rais siyo wingu kwamba akanyeshe mtera. Teh teh teh
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  on duty wa leo alikuwa simba
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hahaha mkuu hii nimeipenda! Sijui utafiti wao ulibase cm za tochi au blackberry! Hahahaa
   
 9. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini ni aibu uwanja mkubw kama ule kuto kuwa na Standby Generator.
   
 10. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  haya bhana!!!! Badae.
   
 11. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Generator wanalo nani wa kununua mafuta wakati mashindano yameisha
   
 12. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe,pia si unajua jk ni yanga
   
 13. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  haha haha haaaa...we umeona mbali hata mi nakubali.
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Generator lipo na tatizo kama hili liliwahi kutokea na kuthibitika kuna karani aliuza mafuta na taarifa zinadai bado yupo pale hahaha!
   
Loading...