Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,152
Picha bora ya siku
Domo atahamishwa nchi na kupoteza uraia wa Tanzania sasahv...shauriye!
.Huyo msichana ni nani?
Jokate D.C.Huyo msichana ni nani?
Picha bora ya siku View attachment 1716558
Hivi si walishawahi kuwa wapenzi hao?lol
Mla ni mla leo mla jana kala nini?Hivi si walishawahi kuwa wapenzi hao?lol
Aise wenye akili kubwa.Mla ni mla leo mla jana kala nini?
Bila shaka ilikuwa zamani hapo!Jokate D.C.
Mnyama Unyamnanii!
Mzee baba naona anashindwa aanzie wapi, kwa Mtela hakupepesa macho




Mwanadada anaonekana kabisa ana feelings na mchizi, nae mchizi anaonekana kabisa ana hamu ya kupasha msosi.. basi taabu tupuMzee baba naona anashindwa aanzie wapi, kwa Mtela hakupepesa macho![]()
Hahahahaaa.Mwanadada anaonekana kabisa ana feelings na mchizi, nae mchizi anaonekana kabisa ana hamu ya kupasha msosi.. basi taabu tupu
Kupasha kiporo inaruhusiwa ila tatizo ni huyo mmiliki wa sasa,Mondi aangalie atapewa uraia wa Burundi sasa hiviHivi si walishawahi kuwa wapenzi hao?lol