Hii nimeikuta facebook, imenichekesha sana.

myhem

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
933
Reaction score
363
Wanafunzi ambao walianza darasa la kwanza mwaka 2002 ni wanafunzi ambao wana bahati sana,walipoanza shule tu ada ikafutwa,walipofika darasa la nne tu kurudia darasa kukafutwa na hatimaye kuibukia form one mwaka 2009 bahati ikazidi kuwaangukia coz kurudia form two kulifutwa.Kwa kudhibitisha bahati yao na matokeo yao ya mtihani wao wa form 4 yamefutwa baada ya kufeli sana,hivyo yanapangwa upya ili waweze kufaulu..Daah hawa vijana wana bahati sana nahisi dhambi zao pia zitakuwa zimefutwa!
 
wanabahati sana ya kuandaliwa kuwa mazezeta...........wakifika chuo disco na supplimentary zitafutwa
 
kila waziri wa elimu anakuja na sera yake,tunataka mjadala wa mustakabali wa elimu ya tanzania tushirikishwe wananchi kama ilivyo mchakato wa katiba mpya sasa!kwa sasa hakuna mtaala unaoleweka,serikali inasisitiza elimu ya awali huku hakuna waalimu wa awali wala vitabu wala shule hizo,watoto wanaosoma shule za english medium wanatumia vitabu vya kenya (Patel) huku kenya wana system 8-4-4.haya tena sasa govt imekuja na primary level na secondary kuwa 10 years badala ya 7-4.Yaani elimu yetu inachezewa na wanasiasa kama vile mpira wa kamba na tambala bovu
 
Wanafunzi ambao walianza darasa la kwanza mwaka 2002 ni wanafunzi ambao wana bahati sana,walipoanza shule tu ada ikafutwa,walipofika darasa la nne tu kurudia darasa kukafutwa na hatimaye kuibukia form one mwaka 2009 bahati ikazidi kuwaangukia coz kurudia form two kulifutwa.Kwa kudhibitisha bahati yao na matokeo yao ya mtihani wao wa form 4 yamefutwa baada ya kufeli sana,hivyo yanapangwa upya ili waweze kufaulu..Daah hawa vijana wana bahati sana nahisi dhambi zao pia zitakuwa zimefutwa!

Form 6 watajisahishia wenyewe hawa
 
.........baada ya kufeli, badala ya wanafunzi ku resit badili yake Baraza ndio limeamua ku resit, bahati ilioje hiyo !
 
Mwanaasha wa mzee kikwete hakuwa intake hiyo kweli? Nina shaka nayo kuna mtoto wa mtu halafu kichwa maji mdingi anatumia fursa yake kumbeba!
 
Wakifika muda wa kutafuta kazi pia interview zitafutwa na ikigundulika muajiri yoyote bado anafanyia watu interview atachukuliwa hatua kali
 
Duh, tumezoea kuona wanafunzi wakireseat but this time baraza ndilo linareseat mitihan kwa ajili ya wanafunzi. Nouma kweli.
 
tz ya sasa na tz ijayo hee mungu tunusuru....wanazidi kuwapumbaza watoto wetu ili watoto wao wanaosomea nje ya nchi waje kua maraisi wa mazezeta ili waendeleze wi......i
 
Back
Top Bottom