Hii Nilikutananayo Maeneo Ya Kondoa Irangi

Hapa bwana shemeji umedanganya!
 
hii ni kigali!kondoa hakuna lami wala overfly
 
Kondoa kunawaka barabara rami,madaraja ya maana yaani hata kwao Dr hapaoni ndani....
 
Hii picha ya siku nyingi sana................. Labda km uliipiga miaka hiyo na kui-publicize.
 
Mkuu hapo ni darajani Kondoa kumekucha tembea uone
 
Ndallo, yani unavoikomalia navuta picha na Hako ka Avata kako ndo du, Yani nakuona unaandika hayo maneno ukiwa umelea alafu kapengo tu ndo knaonekana.

Nimeipenda sana, Hiyo ni Kondoa ya Miaka 10000 ijayo.
 
Mkuu si useme tu ukweli imekuvutia ukaiweka hapa, pasi na kujua ilishapita hapa mara kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…