Hii ni zaidi ya tupo wangapi :-

Hii ni zaidi ya tupo wangapi :-

Bouncer

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
344
Reaction score
248
Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:
"Mama nina UKIMWI"
Mama yake akajibu:
Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-
Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,
Mkeo atamuambukiza kaka yako,
Kaka yako atamuambukiza hausigeli,
Hausigeli atamuambukiza baba yako,
Baba yako atamuambukiza dada yangu,
Dada yangu atamuambukiza mume wake,
Mume wake ataniambukiza mimi,
Mimi nitamuambukiza dereva wetu,
Dereva atamuambukiza dada yako,na dadako km unavyomjua atambukiza kjj kizima!je mko wangapi? vunja mtandao
 
kama utani vilee.. lakini ndo ukweli wenyewe..
 
Na kijiji kitaambukiza madereva wote wanaopita kijijini
 
Hiyo si mtandao tena! itakuwa kama miwaya ya ttcl
 
Back
Top Bottom