hata sisi tumejaaliwa..... nikujipanga tu...... nakubuni tafrija na kurefresh life yako!!Wazungu wanapenda sana beautiful views!!Hapo anaenjoy tu ocean breeze!!
Watu wanaenza wamuone kawehuka lkn hawa viumbe wapo so adventorous!!hata sisi tumejaaliwa..... nikujipanga tu...... nakubuni tafrija na kurefresh life yako!!
exactly bhana,,, siye tamaduni zetu ndo kufuatiliana...bado huku kwetu ndo ujinga sijui..ukisema ukachome nyama beach au shambani usiku mmmmh watsema mwanga au mchawi!! ha ha ha haaa!Watu wanaenza wamuone kawehuka lkn hawa viumbe wapo so adventrous!!
Kabisa nakubaliana na wewe!!Lkn raha sana kuchoma nyama beach unafanya picnic kabisa huku unaenjoy ufukwe.... I LOVE THE BEACH!!Usiku/Jioni ndo kunakuwa cool nn ndo unafurahia zaidi sio mchana wa jua kali!!!exactly bhana,,, siye tamaduni zetu ndo kufuatiliana...bado huku kwetu ndo ujinga sijui..ukisema ukachome nyama beach au shambani usiku mmmmh watsema mwanga au mchawi!! ha ha ha haaa!
Kabisa nakubaliana na wewe!!Lkn raha sana kuchoma nyama beach unafanya picnic kabisa huku unaenjoy ufukwe.... I LOVE THE BEACH!!Usiku/Jioni ndo kunakuwa cool nn ndo unafurahia zaidi sio mchana wa jua kali!!!
Gorgy... hiyo its a therapy watu hawajui...ina renew life span!! madamu una usalama.... kuna asiyetaka kuiEnjoya?!!Kabisa nakubaliana na wewe!!Lkn raha sana kuchoma nyama beach unafanya picnic kabisa huku unaenjoy ufukwe.... I LOVE THE BEACH!!Usiku/Jioni ndo kunakuwa cool nn ndo unafurahia zaidi sio mchana wa jua kali!!!
That might be very possible indeed lakini kipi kingine unachokifanya adventorous ?unanitisha!!!Isije kuwa walala mnazin(joking)i!!:lol::lol::lol:Tunaweza kuwa tunashare a lot of things in common.
Huwa nafanya stuffs hapa wengi wanapata mashaka na uzima wa akili yangu. Its so unique and adventorous.
Kabisa aisee...maisha yenyewe haya mafupi mtu unatakiwa uyaenjoy to the maximum madhali huhatarishi usalama wako au wa watu wengine!Gorgy... hiyo its a therapy watu hawajui...ina renew life span!! madamu una usalama.... kuna asiyetaka kuiEnjoya?!!