lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,462
Wadau hi
Go to the direct point.
Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi.
1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out.
Yeye anapenda kununa kama humtoi
Ila kisa cha kutomwacha mkipiga game dah unafurahia mpaka basi.
2.Anajitahidi kimaisha hapendi kuomba kila kitu mpaka shida imgande ndio aongee.
Anakujali kiafya kimwili na kimaisha anakununulia nguo anakupenda ila kwenye gemu no sio dili kawaida tu.
Je kati ya hapa utajiriski kwa nani ili uoe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kuna wanawake wameumbwa kwa ajili ya gemu mkuu, wengine hata ufundisheje hawawi km hao.Kufeli ni kujitakia tu.....oa namba 2, mengine ya kwenye game mfundishe anaweza akaja kuwa vizuri kuliko huyo namba 1
Na wanaume wote tuseme Amina!Namuoa Option 2 then option1 atakua mchepuko kama atakua interested.
Ndio unakusanya vihela vyako wamuita unamyesha unampa.Nahisi kuna wanawake wameumbwa kwa ajili ya gemu mkuu, wengine hata ufundisheje hawawi km hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manake,
wapili ndo mke wa kuoaWadau hi
Go to the direct point.
Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi.
1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out.
Yeye anapenda kununa kama humtoi
Ila kisa cha kutomwacha mkipiga game dah unafurahia mpaka basi.
2.Anajitahidi kimaisha hapendi kuomba kila kitu mpaka shida imgande ndio aongee.
Anakujali kiafya kimwili na kimaisha anakununulia nguo anakupenda ila kwenye gemu no sio dili kawaida tu.
Je kati ya hapa utajiriski kwa nani ili uoe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau hi
Go to the direct point.
Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi.
1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out.
Yeye anapenda kununa kama humtoi
Ila kisa cha kutomwacha mkipiga game dah unafurahia mpaka basi.
2.Anajitahidi kimaisha hapendi kuomba kila kitu mpaka shida imgande ndio aongee.
Anakujali kiafya kimwili na kimaisha anakununulia nguo anakupenda ila kwenye gemu no sio dili kawaida tu.
Je kati ya hapa utajiriski kwa nani ili uoe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwombe msamahaSifa za.pili ni za msichana wangu ila kagundua ninamchepuko no 1 weee naelekea kumkosa, maombi yenu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app