katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,758
Mambo yetu yanakuhusu nini...?Wadau hi
Go to the direct point.
Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi.
1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out.
Yeye anapenda kununa kama humtoi
Ila kisa cha kutomwacha mkipiga game dah unafurahia mpaka basi.
2.Anajitahidi kimaisha hapendi kuomba kila kitu mpaka shida imgande ndio aongee.
Anakujali kiafya kimwili na kimaisha anakununulia nguo anakupenda ila kwenye gemu no sio dili kawaida tu.
Je kati ya hapa utajiriski kwa nani ili uoe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa
Wadau hi

Haya bwana wao .Shangaa
Anataka kupeleka wapi siri zetu?
kama ulipokea usisite kutoa tena
Kweli anaweza kwa sababu harudishi faida nisawa sawa na biashara unakopesha hadi unafilisika.Namba 2, huyo na namba moja anaweza kukutia umaskini
Naungana na wewe mkuuNamuoa Option 2 then option1 atakua mchepuko kama atakua interested.