Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

abeli tz

New Member
Nov 30, 2020
4
14
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo yake.

Otherwise jua unasaidiwa kazi na vidume wenzako, kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ukiwa huna hela ni kufanya scrub ya uso kwa pilipili iliyosagwa na kuchanganywa na maji, lazima ulie tuu, true love tuwaachie wenye hela sie wengine akina wasakatonge tutakuwa tunakata tiketi za kulia.
 
Aliokwambia ku secure mapenzi ni pesa tu ndio inahitajika? Mapenzi ni akili inatakiwa itumike vizuri pia. Thus why wenye akili nyingi hawalazimiki kutumia pesa kuwalinda wanawake.

Unatumia akili tu mwanamke anajilinda mwenyewe.
 
Akili ipi? Isije kuwa ni zile akili kama zako za mabanzi mawili matatu.
Hivi unaaminigi zile mambo, akili ya mwanamke ni very tender kwa mwanaume esp. ukimjulia vyema.

Ni kauli tu laini unaongea na mama anakuelewa freshi wala hutumii nguvu. Mi situmiagi pesa kumshawishi mwanamke never! Its either anikubali au anikatae ila sitoi sent kumi. So huwa nashangaa wenzangu wanaojificha kwenye kichaka cha pesa. Ukitumia hela it means huna nguvu ya ushawishi.
 
Akili ipi? Isije kuwa ni zile akili kama zako za mabanzi mawili matatu.
Pesa haiwezi kumtuliza mwanamke Bali itamfanya akupende kinafiki tu ... Kumtuliza mwanamke Inategemeana na mwanamke husika aamue kutulia au la .. maana wanawake Miongoni mwenu Kuna wenye upendo wa dhati(hawa wapo wachache ).Malaya . Wakarimu wenye roho Mbaya etc ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…