Hii ni Soka au sarakasi?

Wrestling hiyo mkuu tunasubiri refa aje ahesabu mpaka tatu atangazwe mshindi
 
Inaonekana hukuangalia mpira but unachukua vya mtandaoni uliza ilianza vipi mpaka ikawa hivyo
kwani umekua ugomvi? wewe uloangalia si useme ulichoona? Kama vipi sikuulizi, jisimulie mwenyewe. unaniletea njaa zako za mchana
 
Kwan football n pool kwamba hamgusani
 
Mi naona ni bora nihameye kwenye neteboli ndo ntajua kwamba nnasuza roho na kuvunja mbavu kwa furaha ya netiboli
 
Abaki yeye mpira uende au ubaki mpira yeye aende
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…