mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Wenzangu hii nibsiri mzito ambayo kila nikitafakari kwa akili za kibinaadamu sipati jibu.
Siri ya Namba7,
1. Mbingu 7
2. Wiki siku 7
3. Tawaf x7
4. Safa/Marwa x7
5. Jamarat mawe 7
6. Ajaib dun'ya 7
7. Milango ya moto 7
8. Shahada ina maneno 7
9. Takbira ya Eid x7
10. Idadi ya bahari 7
11. Idadi ya Continents 7
12. Idadi ya Surat Fatiha 7
13. Nyota zijulikanazo jina ni7
Naomba mwenye mtazamo wa kidini au kisayansi aniambie.
Hakika ya mungu ni mjuzi wa yote na sisi ni mali yake na hakiia kwake tutarejea.
The origin of the seven-day week is the religious significance that was placed on the seventh day by ancient cultures, including the Babylonian and Jewish civilizations. Babylonians celebrated a holy day every seven days, starting from the new moon, then the first visible crescent of the Moon, but adjusted the number of days of the final "week" in each month so that months would continue to commence on the new moon.
Source: Seven-day week - Wikipedia, the free encyclopedia
Wenzangu hii nibsiri mzito ambayo kila nikitafakari kwa akili za kibinaadamu sipati jibu.
Siri ya Namba7,
1. Mbingu 7
2. Wiki siku 7
3. Tawaf x7
4. Safa/Marwa x7
5. Jamarat mawe 7
6. Ajaib dun'ya 7
7. Milango ya moto 7
8. Shahada ina maneno 7
9. Takbira ya Eid x7
10. Idadi ya bahari 7
11. Idadi ya Continents 7
12. Idadi ya Surat Fatiha 7
13. Nyota zijulikanazo jina ni7
Naomba mwenye mtazamo wa kidini au kisayansi aniambie.
Hakika ya mungu ni mjuzi wa yote na sisi ni mali yake na hakiia kwake tutarejea.
Kwa imani ya Kikristo na imani za Kishirikina pia namba SABA na NAMBA tatu ni namba ya ukamilifu, yaani kitu kikitajwa katika idadi ya saba maana yake kimekamilika na kimefikia utamati wake kwa hiyo hakuna modifications zozote...
Ni kama namba AROBAINI ni namba ya moito yaani transition