Sema yule jamaa umfahamu vizuri yule jamaa ana hasira mbaya Kama angejua sizani Kama huyu demu angekuwa salama lakini pia sababu nyingine iliyonifanya nisimwambie ule demu katoka nae mbali sana kampenda mwana ikiwa jamaa Hana kitu nusu ya maali ya ndoa huyu binti ndo alimpa mwana ukiacha hivo Kuna kipindi jamaa yangu ilibidi aende jela au atoe faini ya mil 15 but huyu binti ndo akatoa hiyo faini alafu Leo I we rahisi rahisi tu waachane kwa sababu ya hiyo tu?labda kosa langu ni kutomuuliza huyu demu sababu ya kuchepuka ingawa anapenda Sana jamaa yangu ndo ningekuelewa ila soon nitamuuliza.Huu sio uwana
We ni mnafiki maisha yangu huwa naomba nisipate wana wa hivi ...
Ova ... Mwana yupo side yako no matter what
wana hatupo hivyo mzeeSema yule jamaa umfahamu vizuri yule jamaa ana hasira mbaya Kama angejua sizani Kama huyu demu angekuwa salama lakini pia sababu nyingine iliyonifanya nisimwambie ule demu katoka nae mbali sana kampenda mwana ikiwa jamaa Hana kitu nusu ya maali ya ndoa huyu binti ndo alimpa mwana ukiacha hivo Kuna kipindi jamaa yangu ilibidi aende jela au atoe faini ya mil 15 but huyu binti ndo akatoa hiyo faini alafu Leo I we rahisi rahisi tu waachane kwa sababu ya hiyo tu?labda kosa langu ni kutomuuliza huyu demu sababu ya kuchepuka ingawa anapenda Sana jamaa yangu ndo ningekuelewa ila soon nitamuuliza.
Kama umesoma vizuri post yangu nimesema asichepuke tena Kama atafanya hivyo tena ndio nitamwambia jamaa yangugharama ya kutunza siri ilikuwa nn mkuu?
Kwa hiyo wewe unataka waachane?wana hatupo hivyo mzee
Ungekua na hekima ungewsfuata wale wana wengine mwongee nao mwone inakuaje broh
Siku nyingine usiwe hivyo broh
We jamaa tafuta negotiation kama ikifeliKwa hiyo wewe unataka waachane?
Ok nitaongea naeVery true, dawa bado haijapatikana. nadhani mtoa post angeongea na happiness "kama" akimueleza shida ilipo ataweza kujua jinsi gani ya kuongea na rafiki yake ili kumtuliza happy wenge, unaweza ukute ni jambo dogo sana.
We jamaa tafuta negotiation kama ikifeli
Utawapoteza wote yeye na demu
Hakuna kitu kinauma kama mke kuchapiwa
Wakishindwa ku negotiate waache waachane na jamaa ajue
Hafu kitu cha kingese sana unafanya vipi huyo demu akileta ukimwi ndani
Broh unafeli sana !