Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,408
- 166,817
Huyu mwalimu(sina hakika kama ni mwalimu kweli) katika tangazo hili sijui ni la HakiElimu ananifurahisha sana kwa jinsi anavyofikisha ujumbe wake kwa hadhira. Ni zaidi ya macomedians kama akina Masanja na wenzake. Matangazo anayohusika nayo yanabeba ujumbe unaosikitisha lakini kwa jinsi anavyoufikisha ujumbe badala ya kusikitisha, yeye anachekesha...!!
1) Can somebody..........which...eeeh.....eeeh.....what globally warming is...............English please....
2) Hii ni sipiyu........ndio nini hicho....kipo kama video.........msijali...
Huyu anaitwa Mwalimu English Please!!! Ni MC mashuhuri sana hapa jijini Dar. Ukitaka kucheka tena, ebu basi fuata hii link na utamsikiliza mwalimu huyu akiwa kazini.
HakiElimu - Media Gallery
Huyu anaitwa Mwalimu English Please!!! Ni MC mashuhuri sana hapa jijini Dar. Ukitaka kucheka tena, ebu basi fuata hii link na utamsikiliza mwalimu huyu akiwa kazini.
HakiElimu - Media Gallery
Mama mdogo ntampataje huyu MC? At any cost aseee
Haaa haaa!mama mdogo asante sana yani nime enjoy mwalimu anafundisha kuzima kabla hajawafundisha kuwasha lol!sijui iliwakaje bila kuwashwa!Huyu anaitwa Mwalimu English Please!!! Ni MC mashuhuri sana hapa jijini Dar, anaitwa MC Kim. Ukitaka kucheka tena, ebu basi fuata hii link na utamsikiliza mwalimu huyu akiwa kazini. Hapa chini nimekupatia link, double click hiyo link, then double click TV spots halafu double click TEHAMA, and enjoy!!!
HakiElimu - Media Gallery
Niko mikoani huku Kibondo kikazi, nikirudi Dar nitawa contact wadau halafu nitakutumia namba yake, subira yavuta heri. Ukiona nimesahau naomba unitumie PM. Anaitwa MC Kim.
Haaa haaa!mama mdogo asante sana yani nime enjoy mwalimu anafundisha kuzima kabla hajawafundisha kuwasha lol!sijui iliwakaje bila kuwashwa!
Huyu mwalimu(sina hakika kama ni mwalimu kweli) katika tangazo hili sijui ni la HakiElimu ananifurahisha sana kwa jinsi anavyofikisha ujumbe wake kwa hadhira. Ni zaidi ya macomedians kama akina Masanja na wenzake. Matangazo anayohusika nayo yanabeba ujumbe unaosikitisha lakini kwa jinsi anavyoufikisha ujumbe badala ya kusikitisha, yeye anachekesha...!!
1) Can somebody..........which...eeeh.....eeeh.....what globally warming is...............English please....
2) Hii ni sipiyu........ndio nini hicho....kipo kama video.........msijali...
Lol, ahsante sana kwa kweli, nitashukuru na lazima nimtafute kwa gharama zozote huyu jamaa.....sura yake tu yenyewe inatosha
BTW: Kazi njema huko kunakochelewa kutoka na kuzama jua.....huku kwetu tumeshafika tarehe 12/11 sina uhakika kama huko tayari, vipi magazeti ya jana umeyasoma lakini? au ndo yanafika keshokutwa? Just kidding
kweli wenzetu mnafaidi.Nalog off