Ni takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya.
Upande wa kushoto kifuani(Kwenye moyo) nahisi maumivu hasa baada ya kuvuta hewa.
Kuna dalili kama kichefuchefu na uchovu viliambatana
Hii unitokea hasa hasa wakati wa usiku. Mchana mara chache sana hasa nikiwa na njaa.
Kabla ya kuwasilisha kwenu nilienda dispensary nikacheki afya...nilikutwa na U.T.I tu. Nimetumia antibiotics hali imekaa sawa ila bado maumivu upande wa kushoto na kama kifua kubana. Na wakati mwinvine nahisi kama makohozi kwenye koo japokuwa sikooi.
Naombeni msaada hii inaweza kuwa ni nini?